Tukiwa tumemaliza kusherekea sikukuu ya Noel na kuanza Mwaka mpya tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa mema yote, pia ni wajibu wetu kukumbushana katika kuwasaidia wenzetu wenye mahitaji, kwa niaba ya Chingaone blog na JCharity napenda kukuhamasisha wewe na yule kutoa chochote kwa wale wenzetu wenye mahitaji waishio Chanika.
Binafsi naanza kwa kuchangia nguo zaidi ya 50 zilizo kwenye hali nzuri,
Box moja la Peni, Penseli pcs 100 na Daftari 100
Kwa maelezo zaidi piga simu no 0712221744, 0787 221744
Walioanza Kuchangia hadi sasa
1. Jennifer Livigha
- Begi Moja ya Nguo (zilizo katika hali nzuri)
- Viatu
- Box 1 la Peni
- Pencil 50
- Tshs. 20,000/=
2. Rose Gwassa
- Tshs. 20,000/=
3. Theresia Zakaria
- Begi moja la Nguo (zilizo katika hali nzuri)
- Begi Moja ya Nguo (zilizo katika hali nzuri)
- Viatu
- Box 1 la Peni
- Pencil 50
- Tshs. 20,000/=
2. Rose Gwassa
- Tshs. 20,000/=
3. Theresia Zakaria
- Begi moja la Nguo (zilizo katika hali nzuri)
"Tunatanguliza Shukrani zetu kwenu"

No comments on "Zawadi ya Noel na Mwaka Mpya"